DAKA CODE

YouTube ya R.Kelly imefungiwa | Instagram inaondoa IGTV | Telegram imepata watumiaji Mil 70 baada ya Facebook kuwa na matatizo

Episode Summary

Story za siku: - YouTube ya R.Kelly imefungiwa - Sir Elton John amemsifia Young Thug katika freestyles - Instagram inaondoa IGTV - Telegram imepata watumiaji wapya Milioni 70 - Windows 11 imetoka rasmi - Google Pixel zinatoka October 19 -