DAKA CODE

Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard | Instagram inaweka sehemu ya kuelezea matatizo ya kiufundi | iOS 15.0.2 imetoka

Episode Summary

Story za siku: - Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard - Tyga kwenye kashfa ya kumpiga Ex-girlfriend wake - Instagram inaweka sehemu ya kuonyesha taarifa za matatizo ya kiufundi - iOS 15.0.2 imetoka kwa watumiaji wa iPhone - Redmi inapanga kuwa na mfumo wake - iPad Pro itakuwa na muundo mpya wa Landscape Mode