DAKA CODE

Ukweli kuhusu bifu ya Kanye West na Drake | Instagram imekuwa na matatizo siku ya Leo | Kamera yenye uzito mkubwa

Episode Summary

Story za Siku: - Ukweli wa Bifu ya Kanye West na Drake - Wasanii ambao watakwepo katika Album mpya ya Drake - Instagram ilikuwa na matatizo - Xiaomi imekamilisha usajili wa magari ya umeme - Twitter imeweka sehemu ya Super Follow - Kamera yenye uzito mkubwa