DAKA CODE

Tetesi za Kanye West na Drake kutoa Album | Satelite za Matangazo | Simu ya Kwanza kuwa na Kamera

Episode Summary

Story za Siku: - Tetesi za Drake na Kanye West kutoa Album siku moja - WhatsApp kupinga uamuzi wa Apple kuweka mfumo wa kukagua picha - Majaribio ya Satelite ambazo zitakuwa zinaonyesha matangazo muda wa usiku - Mfumo wa HarmonyOS kufikisha watumiaji zaidi ya Milioni 50 - Simu ya kwanza kuwa na kamera Shukran sana kwa kufuatilia Podcast hii na tuendelee kuwa pamoja. DAKA CODE!!!