DAKA CODE

Season 2 ya Squid Game itakwepo | Clubhouse imeweka sehemu ya kurekodi mazungumzo | App bora za kamera kwa watumiaji wa Android

Episode Summary

Story za Siku: - Squid Game itarekodi Season 2 - Snoop Dogg alivyomuenzi mama yake - Mapya yaliyoibuka katika sakata la Travis Scott - Clubhouse imeweka sehemu ya kurekodi mazungumzo - Meta imebadili taarifa za app zake zote - Windows 7, 8 na 8.1 zitaanza kukosa support - App bora za kamera kwa watumiaji wa Android