DAKA CODE

Serikali ya Malawi kumpa Ubalozi wa Bangi Mike Tyson | WhatsApp itaweka uwezo wa kutengeneza Stickers | Mabadiliko mapya ya Kinemasta

Episode Summary

Story za siku - Serikali ya Malawi kumpa Ubalozi wa Bangi Mike Tyson - Mchuani Mkali Tuzo za Grammy Mwaka 2022, Nominations zimetolewa! - Jay Z aweka rekodi Nyingine Kubwa zaidi kwenye muziki wake - Ripoti ya mauzo ya Smartwatch - WhatsApp itaweka uwezo wa kutengeneza Stickers