DAKA CODE

Sakata la Lil Wayne kutaka kujiua | Kioo kipya cha Samsung Eco OLED | Google itaacha kuweka Charger kwenye box za Simu | Muanzilishi wa picha ya Selfie

Episode Summary

Story za Siku: - Kisa cha Lil Wayne kutaka kujiua - Aina mpya ya Kioo cha Samsung EcoOLED - Google itaacha kuweka charger katika box za simu mpya - Mtunzi wa picha ya kwanza ya Selfie