DAKA CODE

J Cole ametangaza atatoa Album mpya | Tanzania ipo katika mpango wa kurusha Satelaiti yake | CapCut imeweka Auto-Caption

Episode Summary

Story za Siku - Jay Z na Beyonce wamenunua eneo kubwa la kifahari - J Cole ametangaza kuachia album yake mpya ya "The Fall Off" - YouTube itaweka matangazo ya sekunde 30 na kubadilisha mfumo wake wa matangazo - Meta inatengeneza app ambayo itakuwa kama Twitter - ChatGPT imeanza kupatikana kama App kwa watumiaji wa iPhone (iOS) - Twitter imeweka Voice Messages kwenye DM - App ya Adobe imeweka Firefly Video Editor - Auto-caption kwenye CupCut