DAKA CODE

Usher amepewa Udaktari | Google imetambulisha Akili Bandia yake | Auto-caption kwenye ku-edit videos

Episode Summary

Story za hii episode 1. Usher ametunukiwa Udaktari wa heshima ya mzuki 2. Google imetambulisha Akili Bandia yake 3. Auto-caption kwenye app za kutengeneza video