DAKA CODE

Rihanna ameweka rekodi | Mwanzilishi wa Akili Bandia ameacha kazi Google ili kupinga madhara ya AI

Episode Summary

Story za leo - Rihanna ameweka rekodi mpya - The Weeknd ameandika tweet ya ajabu - Google imeweka uwezo wa kuingia kwenye akaunti bila kutumia password - WhatsApp itaweka uwezo wa kuficha chats - WhatsApp itaweka uwezo wa kuhamisha chats bila kutumia iCloud - Mwanzilishi wa Akili Bandia ameacha kazi yake Google