DAKA CODE

Desiigner akutwa akichafua kwenye ndege | WhatsApp na Facebook kushirikiana katika matangazo | Kuweka video za High Quality kwenye mitandao ya kijamii

Episode Summary

Story za Leo 1. Desiigner amefunguliwa mashtaka baada ya kufanya kitendo cha ajabu kwenye ndege 2. Apple itatoa aina mpya ya kifaa 3. iPadOS na vifaa ambavyo vitaweza kupata updates mwaka huu 4. Google Authentication imebadilisha logo yake 5. WhatsApp kuungana na Facebook katika kuweka matangazo 6. Jinsi ya ku-post video bila kupunguza quality yake Thanks for listening!