DAKA CODE

Rihanna amemshtaki baba yake | Event ya Apple September 14 | App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online

Episode Summary

Story za Siku: - Rihanna amemshtaki baba yake - Travis Scott na Kylie Jenner wanategemea mtoto wa pili - Event ya Apple ya September 14 - LG imetoa aina mpya ya kioo - Gmail itaweka Video na Audio Calls - WhatsApp imeanza kukubali namba moja katika vifaa vinne - App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online