DAKA CODE

Remix Mpya ya Wiz Kid, Tems na Justin Bieber | Twitter imebadili Fonts | Kamera zilizoweka Historia

Episode Summary

Story za Siku: - Remix Mpya ya Wiz Kid, Tems na Justin Bieber - Twitter imefanya mabadiliko katika muonekano wake - Hackers wa Crypto wameanza kurudisha Coins zilizoibiwa - Mabadiliko mapya katika Windows 11 - Miaka 25 ya Smartphones duniani - Kamera zilizoweka historia duniani