Karibu katika Podcasts ya Daka Code, we back again!!!! Let's discuss some trending stories katika Muziki, Stories za Tech na Matumizi Extra katika kutumia vifaa mbalimbali. Stories za Leo: - WizKid kuweka rekodi katika muziki wake - Card B kuweka rekodi katika YouTube - Instagram was down - Twitter inafuta Twitter Fleets - Google kutambulisha chip yake mpya - Jinsi ya kutumia simu kama Mouse na keyboard Usiache ku-subscribe katika Channel Yetu, feel free kutoa comments na mawazo yako. WELCOME!!!!