DAKA CODE

Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu | Apple imeweka uwezo wa kuhifadhi Driving License katika iPhone | Effects za 3D katika TikTok

Episode Summary

Story za Siku: - Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu - Album ya Drake inakaribia - Apple imeweka uwezo wa kuweka Driving License katika iPhone - Google imetambulisha akili bandia inayoweza kuongeza quality ya Picha - Jinsi ya kupata effects za 3D katika TikTok