DAKA CODE

Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao | iOS 15.1 imetoka | Tesla imefikisha Market Cap Tril 1 | DJI imetoa kamera iliyounganishwa na Gimbal

Episode Summary

Story za Siku: - Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao - CK azidi kuvunja rekodi Billboard - Lil Durky amewakataa mashabiki wake - iOS 15.1 imetoka - China kutengeneza - Tesla imefikisha Market Cap ya Dola Trilioni 1 $ - DJI imetoa kamera inaunganishwa na Gimbal - Update za TikTok