Mambo mazito ya kufahamu katika Interview ya Kanye West | Google Pixel haitakuwa na kamera nzuri kama Google Pixel 6 Pro | iPhone 13 itakuwa na chip ya 4nm
Episode Summary
Story za siku: - Mambo mazito ya kufahamu katika Interview ya Kanye West - Google Pixel haitakuwa na kamera nzuri kama Google Pixel 6 Pro - iPhone 13 itakuwa na chip ya 4nm - Twitter imeweka uwezo wa kusikiliza Twitter Space bila kuwa na akaunti