DAKA CODE

Kifo cha Michael K. Williams | El Salvador imeanza kutumia Bitcoin | Fahamu kuhusu MegaPixel

Episode Summary

Story za Siku: - Kifo cha Michael K. Williams - Diddy ametoa maoni yake kuhusu Album ya Drake na Album ya Kanye West - El Salvador imethibitisha kuanza kutumia Bitcoin kama fedha halali ya malipo - TikTok imezidi kuipita YouTube kwa kuwa na watu wengi wanaotumia muda mwingi kutazama videos - MagSafe Charger mpya - Fahamu kuhusu Megapixel za kamera - Ukipiga picha na watu wengi unaonekana vizuri kuliko picha ya peke yako