DAKA CODE

Kanye West bado hajatoa Album ya Donda | Album mpya ya Nas | Xiaomi inaongoza katika mauzo ya simu Duniani

Episode Summary

Story za Siku - Kanye West hajatoa Album yake, itaanza kupatikana katika Pre-Order - Nas ametoa album mpya ya King's Disease II - Kwa mara ya kwanza Xiaomi inaongoza katika mauzo ya simu Duniani - Apple inaweka mfumo wa kuzuia picha chafu Shukran sana kwa wale ambao wanasikiliza Podcast yetu. Have a blessed Friday!!! Much Love !!!