DAKA CODE

Kanye West ameomba kurudiana na Kim Kardashian | Apple Car itatoka 2025 | NASA imetuma chombo cha DART | Historia ya kamera ya GoPro

Episode Summary

Story za Siku: - Kanye West ameomba kurudiana na Kim Kardashian uzalendo umemshinda! 🤔 - Young Thug kumshtaki Mmliki wa Apartment yake, kisa ameibiwa vitu vyenye Thamani ya Million 200! - Wizkid amemsaidia shabiki yake Kimya Kimya, Matatizo ya Afya! - Apple Car inategemewa itaanza kutoka mwaka 2025 - Uber imeruhusu kusafirisha Bangi nchini Canada - NASA imetuma chombo cha DART - Apple kuanza kutengeneza Modem zake za 5G - Historia ya GoPro

Episode Notes

Follow up:

https://www.instagram.com/octagraphy_

https://www.instagram.com/johnjakson_tz

https://www.instagram.com/itsapolloo