DAKA CODE

Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj | Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe | App za Kupata taarifa za Battery percentage kwa Sauti

Episode Summary

Story za Siku - Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj - Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe - Chip mpya ya iPhone - A15 Bionic - Microsoft inapanga kuondoa mfumo wa Password - App za kutambua percentage ya Battery kwa kutumia mfumo wa Sauti #MuchThanks