DAKA CODE

Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu | Figo ya Bandia imeonyesha mafanikio makubwa | Facebook imeanza kuweka Reels katika Facebook

Episode Summary

Story za Siku: - Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu! - Ckay amewapita Wizkid na Tems kwenye Shazam - Figo ya bandio imeonyesha mafanikio makubwa - Facebook imeanza kuweka Reels katika app ya Facebook - Fahamu matatizo ya iPhone 13