DAKA CODE

Drake anaweza kutumia pesa nyingi Club | WhatsApp kuweka uwezo wa kuhamisha chat Android - iOS | Picha yenye Likes nyingi Instagram

Episode Summary

Story za Leo - Ni kiasi gani cha pesa unatumia ukitoka out - NBA Young Boy anatengeneza Album yake Wakati yupo Gerezani - WhatsApp imeweka uwezo wa kuhamisha chats kutoka Android - iOS - Spotify kuweka uwezo wa ku-download music katika Smartwatch zinazotumia WearOS - Apple imebadili mfumo wake wa kutengeneza kamera za iPhone - Picha yenye likes nyingi Instagram