DAKA CODE

Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne | iOS 15 imekosa features nyingi katika iPhone za zamani

Episode Summary

Story za Siku: - Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne - Photographer wa Davido amefariki - J Cole amewataja Rappers anaowakubali - Mabadiliko mengi ya iOS 15 yanakubali katika iPhone za mwaka 2018 na kuendelea tu - Samsung imepata hakimiliki ya aina mpya ya simu ambazo zina uwezo wa kujikunja katika kioo -