DAKA CODE

Battle ya Kanye West na Drake | WhatsApp inajaribu kuweka Reactions | App 5 Bora za kutumia katika Video Editing

Episode Summary

Story za Siku: - Battle ya Kanye West na Drake - Album mpya ya Drake - Mercedes-Benz imetambulisha teknolojia ya gari kusoma akili ya dereva - WhatsApp inajaribu kuweka mfumo wa Reactions - Amazon inakaribia kutoa TV zake binafsi - Samsung imetoa sensor mpya ya kamera za 200MP - App 5 Bora ambazo unaweza kutumia katika Video Editing