Story za Siku: - Adele amegoma kuendelea na Interview kisa Albamu yake! - Mtoto wa "Malcom X" afariki dunia Nyumbani kwake, Polisi Wanaendelea na Uchunguzi. - Wimbo wa Rihanna "We Found Love" wafikisha Jumla ya Views Billion 1. - Spotify imetoa "Shuffle Play" katika Albums - Instagram na Facebook Messenger hazitakuwa na uwezo wa End-to-End Encryption - Spotify imeweka Lyrics - Apple iliweka taratibu mpya za "Right to Repair" - Gloves za Meta (Facebook) - Jinsi ya Content Creator kutunza Followers
Follow up:
https://www.instagram.com/octagraphy_